Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Morning to all friends. Back in city of jam from Arusha Na sasa napenda kuchukua fursa hii tena kuwaalika kwenye Business Meeting itakayofanyika JB Belmont pale PSPF 4th floor alhamis ya...
0 Reactions
1 Replies
699 Views
Habari zenu wadau, nilikua nauliza km kuna mtu anafahamu upatikanaji wa mashine za kukobolea nakusaga nafaka pamoja na bei yake, tafadhali naomba anijuze..
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Gari ninayo hapa Dar. Wadau wote Naomba tuwasiliane kwa namba zifuatazo. 0714 894088 0784 604971 0762 641094. Email yangu ni. mnanacom@yahoo.com Hiyo Noah ipo Kahama. Masumbwe.
0 Reactions
5 Replies
13K Views
Habari, Jamani naweza kupata wapi taa ya Verossa upande wa kulia. Anayefahamu na bei plz maana nimepaki gari nimekuta wamegonga wamekimbia.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF Mimi nina Pick Up Truck tani 1 used lakini in a very good shape. Natafuta mfanyabiashara au kampuni inayohitaji kukodisha. Contracts ya kudumu kuanzia mwezi na kuendelea.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Guardian of Male health!Guardian of Male health! Main ingredientNutritIon composition: Each 1000mg contains: Tomato extract…………………………….240mg Lycopene………………………………….14mg Function:1. Guardian of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu Wanajamii, Nauza Digital camera. Aina:Sony cybershot Megapixel:14.1 Zooming:5x28 optical zoom Colour:Black Memory:4GB Ina charger yake,USB na bag. Bei ni 300,000/-.Maelewano yapo Kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
SAMSUNG AT&T INAUZWA 90,000. Ni java apps imara na ipo kwenye condition nzuri.
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Nokia C5-03 inauzwa, inakasi ya 3.5G, ipo in good condition Bei 140,000 and can be negotiable.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimejaza form ya mkopo online kwa hawa jamaa wanajiita ''SAVINGFOUNDATION'' ambapo wanasema wanatoa mkopo ndani ya dakika 45,nimelipa ada zote shilling 37,000/= lakini leo siku ya pili cjapata...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
natafuta simu ya touch screen ya bei ya chini. isiwe na tatizo, iwe na intarnet, watsup, 2go na makorokoro yote. bei ianzie 50,000 mpaka 80,000. kama unayo 2pia status yako hapa chini nikipendezwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
HP Pavilon G6 620 Mpyaa 4GB ram, 500 gb hdd,17.3'' Hd screen,windows 7,card reader,webcam,wireless suport. BEI= 620,000/= contact 0714281313 au ni pm
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nyumba inauzwa maeneo ya tabata barakuda ina sifa zifuatazo ina vyumba vitatu,..master bedroom ikiwa imewekwa air condition chumbani ina vioo vya aluminium ina jiko ndani, store, public toilet kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari WanaJF.Nina NDOTO ya kusoma MD,Nimesoma PCB(2012)IIa POVERTY Holds me back.Tatizo ADA.HELP ME OUT P'SE 0659364407
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TOYOTA Cresta GX100. Km 150,000. 1988 CC. 1999Year. Location: ZANZIBAR Inaenda. 4.9m Fixed Call: # Rashid Abbas 0715394100. Only serious buyer. fp rancotrading
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Viwanja Vilivyopo Kigamboni Mwasonga (Karibia na Dar Es Salaam Zoo) Vinauzwa kwa Bei ya Shilingi Milioni Nane(8) Ni viwanja vyenye hati na Vilivyokwisha pimwa Tayari Kwa Mawasiliano...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Toyata nadia inauzwa , bei makubaliano , automatic, mialage 41,200km,full ac , excellent condition, pia toyota land cruise vx , Tel 0713-95-92-90 , 0687-57-34-34
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau gharama ya kununua kiwanja ambacho hakijapimwa ni kubwa mno ikiwemo kubomolewa nyumba na kuambiwa matumizi ya hapo ulipojenga siyo makazi na hapawezi kupimwa. Hivyo basi tumeamua kuwaletea...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za leo wanajamvi? Naomba msaada wa kupata Msichana wa Kazi wa Uhakika. Mshahara ni maelewano, ila inaweza hata kufikia Tshs. 50,000, inategemea na uzoefu na ufanyaji wa kazi. Kituo cha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…