Nyumba inauzwa kitunda

Nyumba inauzwa kitunda

Yesar

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
300
Reaction score
17
Nyumba ipo kitunda mil 32 ina vyumba 3 masta1 choo cha ndani dinin n seting room jiko,store na nje kuna choo cha nje haina dalali nicheki 0717184353
 
Mkuu ungeweka picha ingekuwa safi sanaa....na eneo la kiwanja ni ukubwa gani? na nyumba ipo kitunda ipi?
 
Mkuu, ni kitunda ipi? Relini, shule, machimbo, mwanagati, kivule ama...?
 
Kuna nyumba nyingine inauzwa Mbezi Luis kupita shule,kubwa huo huo na bei hiyo hiyo mln 30,sitaki dalali.
 
Nyumba ipo kitunda mil 32 ina vyumba 3 masta1 choo cha ndani dinin n seting room jiko,store na nje kuna choo cha nje haina dalali nicheki 0717184353

Ndio Umepotea kabisa,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom