engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
Laptop Solar Charger LY-K1028 matumizi 2.cell phones, 3.digital cameras 4.MP4,MP3 solar charger |
kama unahitaji tuwasiliane
engmtoleraibrahim@gmail.com
bei TZS 300000/=
PUNGUZO LIPO
Laptop Solar Charger LY-K1028 matumizi 2.cell phones, 3.digital cameras 4.MP4,MP3 solar charger |
Charger laki tatu? Itakuwa una huruma sana kwanini ushuze milion moja na laki tano?
Wewe noma bei ya charger inakaribiana na bei laptop!! tumia mwenyewe na ndugu zako...
ndio maana tunaumizwa sana watz,unanunua kitu leo kesho hakifanyi kazi,tuwe na tabia ya kununua vitu vyenye ubora na hivi huwa ni ghariWewe noma bei ya charger inakaribiana na bei laptop!! tumia mwenyewe na ndugu zako...
ndio maana tunaumizwa sana watz,unanunua kitu leo kesho hakifanyi kazi,tuwe na tabia ya kununua vitu vyenye ubora na hivi huwa ni ghari
mkuu nakubaliana na wewe vifaa original vya solar ni gharama sana huwezi amini kijijini kwetu nguzo ya umeme iko mbali sana kama nguzo nane zilikuwa zinahitajika nikasema nichukue solar system nimfungie bibi yangu. ukienda kariakoo unaweza pata umeme wa solar wa nyumba yako nzima i mean bulb 13 switch socket 4 kwa tsh 700,000 ila nikagundua ni feki ila kuna jamaa agency from germany wao walikuwa wanavifaa original jumla ilikuwa ni tsh1800,000/= guarantee ya battery miaka mitano huwezi amini mpka leo bibi anakula umeme kila siku na kucharge simu yake mwaka wa tatu sasa sijabadilisha chochote mpka miaka mitano ndio nitachange battery pia wana fridge walikuwa wanauza tsh 3m, kwa huyo jamaa wala siwezi kushangaa kama ni vitu original, na siku hizi bongo tunaingia hasara kila siku bila kuangalia ubora wa vitu vyenyewe bora uingie gharama kubwa udumu nacho kuliko kununua kwa bei ndogo itakugharimu.