Wanajamvi kwa yeyote mwenye mahitaji ya kufanyiwa tathimini za mazingira yaani EA na EIA kwa maeneo yote ya mikoa ya kanda ya ziwa tuwasiliane : elizabetiabd@gmail.com
Wewe mbwiko kweli, hizo ea n.k ndiyo nini? Unakurupuka tu, siyo wote tunaojua hivyo vifupi
Sio kila kitu ucomment! hayo ni maji marefu kwa kihiyo kama wewe!
Omba msamaha wewe kidude mtu,
Endelea kupayuka mail zinamiminika na deal tunastrike!
Tatizo wewe ni mjiingaaa, hivi unaona dili gani kusema tu EA ni East Africa, na EIA ni East Internal Africa? Wewe hujui kwa kutoa virefu watu wengi wangekuelewa? You are soooo stupp'idyy msomi. Kama una elimu basi haijakukomboa mwehu weye. Mimi ulichoniudhi toka mwanzo ni kuweka kitangazo utafikiri wote tulikuwepo huko ulikosomea. Mfano wewe nikisema "wadau mwenye kuhitaji kufanya hesabu zake kwa kufuata IAS maeneo ya mwanza" unafikiri utanielewa? Acha kuwa na ufinyu wa fikra,
Sio kila kitu ucomment! hayo ni maji marefu kwa kihiyo kama wewe!