Habari wakuu, linakugharimu 70,000.00 ku convert mtungi wako wa aina yoyote ile wa gas kuwa Jiko au Oven na unaweza kutumia kupikia, kuchomea nyama, kuoka na pia linadumu kwa muda mrefu na...
ziko Kinyerezi umbali wa km mbili toka airport zina ukubwa wa 20mx20m bei milioni 10 tambarare na milioni tano penye mterereko, wahi zipo 50 tu ukipendelea ni pm. Za bagamoyo ziko kaole mita 200...
naiuza coz nimepata mafao ya ustaafu so nahitaji yenye quality zaidi,,me nipo Moro mjini bei ni 130 tu ukiwa interested nichek 0712667669,,,,cpunguz zaid ya hapi
Plot kwa ajili ya biashara inahitajika kwa ajili ya biashara. Iwe njiani Maeneo ni kutoka mjini kupita njia ya Moshono hadi maeneo ya chuo cha Mandela. Au maeneo ya kuanzia Sanawari kuelekea Moshi.
Wakuu,
Gari nzuri na yenye nguvu:
Reg #: T 317 BZQ
Fuel: Petrol
Transmission: Manual, 5 gear
Color: white
Odometer: 69,000 km
Location: Dar es Salaam
Call 0789-429923 now!
Ina bedroom 2, moja ni selfcontained
Sitting room iliyoungana na dining
public toilet na bathroom
Ipo Arusha maeneo ya kwa mrefu, kama mita 300 kutoka barabara kuu ya Moshi-Arusha. Na ukiwa...
Bajeti ni laki 3 na 70
iwe ya kisasa na haina michubuko,katika hali nzuri ya utendaji.
chaji angalau masaa 3.
mpya au used hiyo juu yako bora mashine inapiga mzigo na muonekano wa kuvutia...
Msouth poltr farm ni shamba ambalo lipo kijiji cha hanga rufiji,ukitoka dar unatumia barabara ya kilwa road kuna umbali wa km 160 mpaka shamba .kwa mawasiliano zaidi piga namba 0782138541,
Napenda kuwajulisha. Wale wote ambao wanataka kupata huduma kufanyiwa wiring katika nyumba zao kwenye viwanda n.k,nikiwa kama mkandarasi mwenye leseni namba 231 daraja C nina uzoefu katika kazi...
Wakuu nauza Mitsubishi Canter ipo katika hali nzuri na inatembea.
Imetengenezwa mwaka 1996
Tani 3
Injini CC 2960
Mafuta Diesel
Body type ni Box body
Aina ya injini 4D33
Bei Tsh. 16m...
Naomba Tuwasiliane
0714894088
0762641094
0784604971
0773904971. Email. mnanacom@yahoo.com
Bei ni milioni 12
Bei lilioni 14. Hii hapa j ni Noah ya kisasa
Wakuu salama... ninazo daladala 2 nauza au kubadili na aina nyingine kama pick up, au hata saloon car yenye hali ya upya kwa ajili ya tax, hizo gari ziko kwenye hali nzuri na zote ziko kazini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.