elfu 30 zinakua mpya kwa boxKama mtu anauza hizo earphone za iphone please
Anitajie bei na kama unajua wapi zinapaitikana
Pia si mbaya ukinielekeza, naomba ziwe original
Thanks in advance
Nenda Mlimani utazipata au Quality plaza au myfair plaza.!! nilinunuaga pale Benjamin Mkapa towers. siyo ghali!Kama mtu anauza hizo earphone za iphone please
Anitajie bei na kama unajua wapi zinapaitikana
Pia si mbaya ukinielekeza, naomba ziwe original
Thanks in advance
elfu 30 zinakua mpya kwa box
Nenda Mlimani utazipata au Quality plaza au myfair plaza.!! nilinunuaga pale Benjamin Mkapa towers. siyo ghali!
natafuta invoice nitakujibu.Ulinunua kwa bei gani ndugu
unazipata kwangu. 0655003510Nazipa wapi mkuu
unazipata kwangu. 0655003510