Fuel consumption ya Nissan March

Fuel consumption ya Nissan March

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
13,000
Mu hali gani wanajamii

Naomba kufahamu fuel consumption ya Nissan March yenye CC 950 ya mwaka 1997.....

Natanguliza Shukrani....
 
14-20 km/l hapa inategemea uendeshaji wako, barabara na service ya injini
 
Kama iko sawa haina tatizo lolote inabidi itumie 7 to 8 litres per 100 km ukiwa kwenye hizi foleni za dar na 4.5 to 6 ukiwa kwenye barabara zisizo na folen kam dar to moro.

Mu hali gani wanajamii

Naomba kufahamu fuel consumption ya Nissan March yenye CC 950 ya mwaka 1997.....

Natanguliza Shukrani....
 
Kama iko sawa haina tatizo lolote inabidi itumie 7 to 8 litres per 100 km ukiwa kwenye hizi foleni za dar na 4.5 to 6 for 100 km ukiwa kwenye barabara zisizo na folen kam dar to moro.

Mu hali gani wanajamii

Naomba kufahamu fuel consumption ya Nissan March yenye CC 950 ya mwaka 1997.....

Natanguliza Shukrani....
 
20-25 kama ni manual ukifika kwenye mteremko unazima mpk mwendo upungue afu unawasha tena hivyo hivyo. Dar Moro lita 5-7 yako ni auto au manual?
 
Asante wadau... Ila hii ni chiboko, inatumia 8.5km/lt.... Je kutakuwa na tatizo gani????
 
Duuh.hiyo kali 8.5km kwa 1lt imekuwa gx100 au six cylinder? Angalia nozel kama zimekufa au ni za kusafisha.pia plug badilisha usinunue za buku 4 nunua zile orginal ya moja 20 elf au 15 pia mwaga engine oil weka ya bp na gear box oil ya bp.pia usisahau oil filter kutoa na air cleaner badilisha.ukishafanya hivyo rudi kutupa majibu.kama imetoka japan itakuwa
 
Asante ndugu....
 
Nawashukuru sana wanajf...

Niligundua kuwa pale nilipokuwa nanunua fuel walikuwa wananichakachua, nimebadili kituo sasa naenjoy.kama kawa!!

Shukran kwenu....
 
Nawashukuru sana wanajf...

Niligundua kuwa pale nilipokuwa nanunua fuel walikuwa wananichakachua, nimebadili kituo sasa naenjoy.kama kawa!!

Shukran kwenu....

Ulikua unawekea Wapi mwanzo ?
 
Back
Top Bottom