Mwenye uzoefu na Mitsubishi Pajero IO GDI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye uzoefu na Mitsubishi Pajero IO GDI

Discussion in 'Matangazo madogo' started by bacha, Feb 23, 2011.

 1. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ndugu wapendwa,
  hebu naomba yeyote mwenye uzoefu na gari hii ya Mitsubishi Pajero IO GDI,
  Au ameshawahi kuimiliki au anaifahamu tu vizuri!!!
  Napenda kujua kiufundi huwa inasumbua nini mara kwa mara, kwani ninazipenda sana,
  sasa ninaona niulizie kwanza usumbufu wake kabla sijachukua hatua nyingine!!!!!!!
   
 2. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kama unalo moja tuu..sio stahimilivuuu..
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Ukishaitumia haiuziki kirahisi
   
 4. Kireka1980

  Kireka1980 JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2008
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Zinasumbua kwenye mfumo wa umeme, inaweza ikazimika taa zote ikiwa inatembea na ukishaitumia kwenye barabara zetu inachoka kwa kasi ya ajabu.
   
 5. j

  john gharish Member

  #5
  Sep 29, 2013
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  usiogope hawazijui hizo gari.ni gari nzuri sana, ila zina mashariti yake..Unatakiwa uweke mafuta unleaded fuel tank,uweke plugs zake kama zake zimechoka,usimwage oil ya gearbox ukaweka ya elfu tano sio sahihi..sikuwa na eneo la kufungua gaurage,ila kwa sasa nimepata eneo ninaweza kuwahudumia kikamilifu.usipende kutembelea gari yako taa inawaka utaichukia GDI Maishani mwako.ukiwa na tatizo lolote piga simu hii.0755399613,0715399613.
   
Loading...