Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,143
- 369
Ipo Boko upande wa kushoto katika Barabara inayoelekea Bagamoyo. Ipo karibu na nyumba za Shirka la nyumba la Taifa-NHC-BOKO. Ina vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebure na baraza la kulia chakula. Imejengwa juu ya kiwanja chenye Hati Miliki ambacho kina ukubwa wa mita za mraba 1700. Bei ni ya kushauriana. Mwenye nia ya kununua tuwasiliane moja kwa moja kupitia hii namba 0755312233 Piga au tuma sms au WhatsApp.