Nyumba hii ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo kikiwa masta, sebure, sehemu ya kulia chakula, jiko na store. Kiwanja chake kina Hati Milki na ukubwa wa mita za mraba 1700. Nyumba ipo upande wa...
Mwaka kesho Nina tenda ya kubeba wanafunzi Wa nursery IPO ubungo emaus mwenye gari la Noah anipatie niingie nae mkataba kwa mwezi namlipa yeye pesa nzuri Tu 0714064767
Tanzania ina watu milioni 45
wote wanataka huduma ya umeme ya uhakika na cheap
Tanzania tayari inayo Bilionea wa Solar
na mimi nataka nimjoin
je Inalipa kuleta solar ambazo zishakuwa assembled...
Nyumba ya vyumba vitatu,sebule ya kupumzikia,sebule ya kulia chakula,jiko,choo,bafu na store inauzwa kimara mwisho - ghorofani,njia ya kwenda bonyokwa,jirani na makaburi. bei ni 35,000,000.
Kwa...
habari wandugu
...nina mdogo wangu aliresign kwa mnkoloni na kulipwa tumafao twake kama 15m, na aliniuomba nimtafutie fremu ili aanzishe biashara!Nilianzia maeneo ya...
Tablet galaxy note 10.1 gb 16, ambayo inapiga cm, na inameza memorkad, 3g, camera, iko full na chaja yake mpyaaaa kabsaaa tsh 600000.
Warranty mpaka unaibiwa.
Nahitaji pikipiki aina ya boxer bm 100 ama 150, ama honda zilizoingia sasa engine capacity 125. Bei isizidi 800,000. Kama unayo ni pm mara moja. Ni mkazi wa ilala dar.
Nahitaji pikipiki aina ya boxer bm 100 ama 150, ama honda zilizoingia sasa engine capacity 125. Bei isizidi 1,000,000. Kama unayo ni pm mara moja. Ni mkazi wa ilala dar.