mwenye gari ya noah lets gave deal!

mwenye gari ya noah lets gave deal!

nickson1987

Senior Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
191
Reaction score
24
Mwaka kesho Nina tenda ya kubeba wanafunzi Wa nursery IPO ubungo emaus mwenye gari la Noah anipatie niingie nae mkataba kwa mwezi namlipa yeye pesa nzuri Tu 0714064767
 
Siku ngapi kwa wiki na gari itafanya kazi kuanzia saa ngapi mpaka saa ngapi?
Kama ruti unazijua tafadhali tueleze tukupe gari uanze biashara.
 
Back
Top Bottom