Tanzania ina watu milioni 45
wote wanataka huduma ya umeme ya uhakika na cheap
Tanzania tayari inayo Bilionea wa Solar
na mimi nataka nimjoin
je Inalipa kuleta solar ambazo zishakuwa assembled au tufungue assembly line?
Je current companies zishatengeneza mabilionea wangapi na je what are my chances?