Kupangisha nyumba

Kupangisha nyumba

Mukose

Member
Joined
May 19, 2012
Posts
95
Reaction score
29
Kama una nyumba inayojitegemea yenye vyumba 2 na sebule, maeneo ya changanyikeni ama makongo juu ni pm bei yake na malipo yawe miezi sita.
 
iko makongo juu karibu na kanisa la kkkt bei ni laki 3 na nusu kwa mwezi ila mwenye nyumba anachukua kodi ya mwaka
room mbili zote master. ila hicho kimoja ni kama masta na public.
Parking ya kumwaga
maji ya kununua.
Karibu Makongo mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom