Nahitaji pikipiki aina ya boxer bm 100 ama 150, ama honda zilizoingia sasa engine capacity 125. Bei isizidi 800,000. Kama unayo ni pm mara moja. Ni mkazi wa ilala dar.
Mimi bwana nina pikipiki 2 T BPB 668 na TBRB 350 zote boxer bm 100 zina ubovu mdogo moja inavujisha oil ktk engine na ingine mfumo wa umeme. Kama unataka kuona cont. 0715500248 nipo ilala msimbazi bonden.
Pamoja na boxer mbili pia nina sunlg ambayo inatembea nimeshindwa kugombana na vijana inahitaji ukarabati wa dash bod na chuma la carier unachukua kwa laki saba tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.