Pikipiki.

Pikipiki.

Mukose

Member
Joined
May 19, 2012
Posts
95
Reaction score
29
Nahitaji pikipiki aina ya boxer bm 100 ama 150, ama honda zilizoingia sasa engine capacity 125. Bei isizidi 1,000,000. Kama unayo ni pm mara moja. Ni mkazi wa ilala dar.
 
NKUCHA
Kwanini usinunue mpya? Boxer BM 150 ni Tshs 2,050,000=
Ukipata kwa hiyo 1,000,000= ninahakika itakuwa na walakini....Tafakari Chukua hatua!!!
 
Back
Top Bottom