Nyumba inauzwa bei nzuri boko

Nyumba inauzwa bei nzuri boko

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,143
Reaction score
369
Nyumba hii ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo kikiwa masta, sebure, sehemu ya kulia chakula, jiko na store. Kiwanja chake kina Hati Milki na ukubwa wa mita za mraba 1700. Nyumba ipo upande wa kushoto kuelekea Bagamoyo. Ipo njiani ukiwa unaelekea BOKO NHC. Bei shs 150mil. Maelewano yapo. Kuitazama mawasiliano haya 24/7HRS. +255 755 312 233. Karibu Sana Mteja, kwetu sisi wewe ni Mfalme na Malkia.
attachment.php
 

Attachments

  • 180913031640IMG_0696FS.JPG
    180913031640IMG_0696FS.JPG
    56.9 KB · Views: 254
  • 180913031641IMG_0697FS.JPG
    180913031641IMG_0697FS.JPG
    42.7 KB · Views: 107
  • 180913031641IMG_0698FS.JPG
    180913031641IMG_0698FS.JPG
    46 KB · Views: 105
  • 180913031641IMG_0699FS.JPG
    180913031641IMG_0699FS.JPG
    41.6 KB · Views: 101
  • 180913031641IMG_0700FS.JPG
    180913031641IMG_0700FS.JPG
    22.5 KB · Views: 113

Similar Discussions

Back
Top Bottom