Pango kitanzi kwa wajasiriamali wadogo.

Pango kitanzi kwa wajasiriamali wadogo.

gambagumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
2,341
Reaction score
3,167
habari wandugu
...nina mdogo wangu aliresign kwa mnkoloni na kulipwa tumafao twake kama 15m, na aliniuomba nimtafutie fremu ili aanzishe biashara!Nilianzia maeneo ya sinza na bei ya frmu iliyopo kwenye business center ilikua inaanzia laki nne, then nikaenda k/nyama pale frem niliambiwa ts laki 7 kwa mwezi! then nikenda mwenge pale niambiwa kuanzi lk nane.na wwote wanaka kodi ya mwka
 
Kaaazi kwelikweli! Nchi ilishakuwa ya kibepari.
 
we acha tu ndugu yangu, yaani haina maana kabisa..naishaur serikali ianzishe chombo cha udhibiti kwenye mambo haya ya pango na hata ununuzi wa viwanja. kwa hali hii ujasiriamali nchini utaendelee dumaa.
 
Pale mwenge zipo mpaka za 2m. Mungu awezeshe biashara ya mtandaoni (online business ikue ili tusipange hayo mafremu.
 
we acha tu ndugu yangu, yaani haina maana kabisa..naishaur serikali ianzishe chombo cha udhibiti kwenye mambo haya ya pango na hata ununuzi wa viwanja. kwa hali hii ujasiriamali nchini utaendelee dumaa.
Sidhani kama kuanzisha chombo kutasaidia kuondokana na tatizo hili. Haya mambo yanaenda kwa nguvu za demand and supply na ndo maana frame zote zinajaa. Wewe wakati unashangaa shangaa na kujishauri, wenzako wanalipa na ukija kesho kuulizia unaambia tayari pameshachukuliwa.

Watu wengi wanapenda frame ambazo ziko katika eneo ambalo kuna watu wengi, endeo ambalo anaamini atafanya biashara husika. Lakini kutegemeana na aina ya biashara, bado kuna nafasi nzuri ya kufanya biashara katika maeneo ambayo yanakuwa kwa kasi kama tabata, tegeta n.k ambako kodi bado ni nafuu
 
Back
Top Bottom