Pikipiki inhitajika.

Pikipiki inhitajika.

Mukose

Member
Joined
May 19, 2012
Posts
95
Reaction score
29
Nahitaji pikipiki aina ya boxer bm 100 ama 150, ama honda zilizoingia sasa engine capacity 125. Bei isizidi 800,000. Kama unayo ni pm mara moja. Ni mkazi wa ilala dar.
 
boxer laki 8 yakichina yenyewe mkuu huwezi pata kwani mm nilikuja natangazo kama ilo tena mill mwisho wa siku nikanunua mill na laki moja
 
Back
Top Bottom