Machine ya kuangulia vifaranga

Machine ya kuangulia vifaranga

kamsongole

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
111
Reaction score
15
Wadau nahitaji machine ya kuangulia vifaranga maeneo ya dar au kibaha. Naomba aliyenazo aniandikie bei na anapatikana wapi nije kununua. na pia kama ni home made au za nje
 
mbona wenye machine hamtokei?
 
Mashine ipo hapa dar. Manual ni ya nje. Ipo mwenge karibu bei ni maelewano. Sababu ya kuiuza hakuna wakuitumia. Karibu. Nicheki kwa 0713401812
 
asante ndugu yangu, mi nahitaji automatic machine.
 
Hizo Pm hata hazifungukagi sijui kwa vile natumia cm. Nitext bac kwa hiyo namba ndugu yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom