Hapana Boss laki hailipi..
Na sio ya uizi
Bei ya mwisho ngapi mkuu?
Wa kwanza boss
weka namba tufanye businessmkuu mimi ninayo bb 9320 nyeusi nimeitumia mwezi mmoja nahitaji laki tu..naiuza ili nijichange ninunue pc.nimeshindwa kuapload picha ila it looks new.nipo chole masaki dsm