Wadau nauza pikipiki tajwa hapo juu. Pikipiki ipo katika hali nzuri sana, na ni electric self starter. Ina uwezo wa kwenda umbali mrefu bila kusimama(nishawahi kutoka nayo dar hadi Arusha afu...
Haya wakuu huyu mtu anahama nchi kaamua kuwaachia wahitaji vitu vya ofisini na nyumbani.
Vyote vinauzwa kama vilivyo-USIje kuuliza hee mbona mtoto hana mguu.
Laptop HP -50,000
Photocopier IR 2018...
haya wana jamii forum wenzangu wenye pesa zenu kuna kiwanja kizuri sana kinauzwa kipo mbweni malindi takriban mita 400 tu kutoka baharini chenye ukubwa wa square meters 1400 ( miguu 28 kwa 50 )...
The DVD & Audio CD "Kupunguza Unene Na Kitambi" is now available and will soon be launched. This is a joint Project between ConsNet Group and The Eastern Africa Professionals & Business Network -...
Top ten reasons to drink argi, acts to release anti aging hormones, affects insulin sensitivity so it is particularly useful in maintaining blood glucose control.
reduce blood cholesterol...
Salaam wanajamii,nilikuwa na maswali la kibiashara,1.)Nina water pump ya honda nataka kuileta bongo,je naweza kuuza?bei kwa makisio ni ngapi.ni brand new nameinunua hapa uk,lakini sina tena...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida jana nilipoteza simu yangu aina ya Sony Xperia L maeneo ya Ubungo hivyo basi naamini kuwa mtu yule ambaye atakuwa kaichukua , au kuiokota sasa hivi atakuwa aidha...
JE UNATAFUTA NYUMBA/VYUMBA VYA KUPANGA SOWETO-MOSHI???
KARIBU KUNA VYUMBA YA KUPANGA NZURI IPO SOWETO, MTAA WA HURUMA KARIBU KABISA NA ST JOSEPH HOSPITAL.
NYUMBA INA KILA KITU MAJI, GETI, NA...
Waungwana kwa anaeiitaji hii simu tuwasiliane,bado iko poa ila sema hai-support code USSD yaan mpesa,tigopesa, na vifurushi na hii ndivyo ilivyoundwa so kwa mwenye utayari no. yangu ni 0767954466...
Wakuu ninashida ya kuku wa kienyeji pure ambao wamebakiza kama mwezi au wiki tatu waanze kutaga...nahitaji mitetea kama 100.....natanguliza shukrani,,,,,