Mafanikio Katika Maisha - Motivational DVD

Mafanikio Katika Maisha - Motivational DVD

Joined
Jul 14, 2008
Posts
1,820
Reaction score
1,036
attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • Maisha Cover.jpg
    Maisha Cover.jpg
    249.1 KB · Views: 674
  • Maisha Kufanikiwa Poster.jpg
    Maisha Kufanikiwa Poster.jpg
    341.6 KB · Views: 641
Kwa nyie kutuuzia tena ni njia yenu ya kupata mafanikio. Mi nilidhani mnagawa bure.

Hiyo DVD angetoa Bakhera ningenunua.
 
Kwa nyie kutuuzia tena ni njia yenu ya kupata mafanikio. Mi nilidhani mnagawa bure.

Hiyo DVD angetoa Bakhera ningenunua.

Mkuu, na hilo ni moja ya mitazamo tofauti ambayo watu wanayo. Wengi wanadhani mafanikio ni kupata mali tu au pesa au utajiri, kumbe si hivyo. hayo ni mafanikio ya kibaishara na ni sehemu tu ya maisha.

Lakini maisha kwa ujumla yanaangaliwa katika maeneo tofauti ambako unaweza kupima mizania ya mafanikio yako au kujiwekea mikakati ni nini ufanye uweze kusonga mbele
 
Kama akiniuzia mmoja wa hao wabebs ntanunua...yaani nikutane naye ana kwa ana nimkabidhi mshiko naye anikabidhi dvd. Ila wewe usije.

No problem. Hawako kwenye Sales lakini nitafikisha ujumbe. Ni kwa nini unataka wao tu ndo wakuuzie?
 
Mami,

Acha kuwa na mawazo mabaya kichwani bana. Kwanza wewe nunua kama 5 hivi na za nyongeza 10 ndiyo walau uombe ziletwe na hao akina dada zikiwa zimefungwa na kurembwa.

Hongera kwa waandaaaji na tutajitahidi kuwa-support kwa njia mliotuandikia.
Kama akiniuzia mmoja wa hao wabebs ntanunua...yaani nikutane naye ana kwa ana nimkabidhi mshiko naye anikabidhi dvd. Ila wewe usije.
 
Mami,

Acha kuwa na mawazo mabaya kichwani bana. Kwanza wewe nunua kama 5 hivi na za nyongeza 10 ndiyo walau uombe ziletwe na hao akina dada zikiwa zimefungwa na kurembwa.

Hongera kwa waandaaaji na tutajitahidi kuwa-support kwa njia mliotuandikia.

Mkuu Sikonge asante sana kwa kuliona hilo. Kijana wetu Nyani Ngabu ndo alivyo. Tumvumilie na tuendelee kumlea. Siku moja atakuwa mkubwa!

Ukipata nafasi pia pitia hapa: https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/439843-jinsi-ya-kupunguza-unene-na-kitambi.html

Asante sana kwa kutuunga mkono.
 
Back
Top Bottom