Nauza simu ya nokia lumia 510

Nauza simu ya nokia lumia 510

CHINGUMBE

Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
70
Reaction score
26
Waungwana kwa anaeiitaji hii simu tuwasiliane,bado iko poa ila sema hai-support code USSD yaan mpesa,tigopesa, na vifurushi na hii ndivyo ilivyoundwa so kwa mwenye utayari no. yangu ni 0767954466 (bei n 235000/=)
 
Hivi hata kuipgrade window haiwez support hizo service?kwa anayejua atusaidie.
 
Hivi hata kuipgrade window haiwez support hizo service?kwa anayejua atusaidie.

hyo nlijaribu kwa kutumia zune mkuu na ikamaliza ila nkijaribu inanigomea tu sema kuna member mmoja aliniambia ntumie emdial nayo nkadownload lakn inasupport kwa mtandao wa mtn ya S.A pekee.
 
Bei imepungua saivi ni sh.200000/= kamili au mwenye galaxy ace duos au simu inayofanana na bei hyo tunaweza kubadilishana lakin iwe ni android.
 
Bei imepungua saivi ni sh.200000/= kamili au mwenye galaxy ace duos au simu inayofanana na bei hyo tunaweza kubadilishana lakin iwe ni android.

Mbona watu wanauza sana hizi Lumia? Zina tatizo gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom