Wadau nauza pikipiki tajwa hapo juu. Pikipiki ipo katika hali nzuri sana, na ni electric self starter. Ina uwezo wa kwenda umbali mrefu bila kusimama(nishawahi kutoka nayo dar hadi Arusha afu nikarudi nayo tena). Nimejaribu kuweka picha ila nimeshindwa. Bei isipungue mil 2.9