Kiwanja kizuri kinauzwa mbweni beach malindi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,542
Reaction score
127,848
haya wana jamii forum wenzangu wenye pesa zenu kuna kiwanja kizuri sana kinauzwa kipo mbweni malindi takriban mita 400 tu kutoka baharini chenye ukubwa wa square meters 1400 ( miguu 28 kwa 50 ) hati original kabisa ipo. Bei yake ni milioni 80 na anashuka hadi milioni 70 tu na si zaidi ya hapo. Mwenye kukihitaji awasiliane na namba hizi zifuatazo: 0684 344600, 0715 044592 na 0766 378409. Kila la kheri wenye pesa zenu mimi niliishia milioni 65 tu jamaa kachomoa na kaniambia nizitafute hizo milioni tano zitimie 70 tufanye biashara. nimekipenda sana hicho kiwanja na kwa yoyote atakayekwenda kupaona hapo atakubaliana na mimi na kubwa zaidi ni location yake na pako very accessible na kwa watu ambao ni executives hapo ndipo mahala penu. Kila la kheri.
 
Mbwembwe za Nini tena? Hutaki Kuishi Kwa Wastaarabu na Washua tupu Mbweni Malindi? Nisalimie Bosi Wako Mzee Nanihii.......................!
 
haya wana jamii forum wenzangu wenye pesa zenu kuna kiwanja kizuri sana kinauzwa kipo mbweni malindi takriban mita 400 tu kutoka baharini chenye ukubwa wa square meters 1400 ( miguu 28 kwa 50 ) hati original kabisa ipo. Bei yake ni milioni 80 na anashuka hadi milioni 70 tu na si zaidi ya hapo. Mwenye kukihitaji awasiliane na namba hizi zifuatazo: 0684 344600, 0715 044592 na 0766 378409. Kila la kheri wenye pesa zenu mimi niliishia milioni 65 tu jamaa kachomoa na kaniambia nizitafute hizo milioni tano zitimie 70 tufanye biashara. nimekipenda sana hicho kiwanja na kwa yoyote atakayekwenda kupaona hapo atakubaliana na mimi na kubwa zaidi ni location yake na pako very accessible na kwa watu ambao ni executives hapo ndipo mahala penu. Kila la kheri.

picha la kihindi
 
Kama huna Hela au Pesa za Kununua Acha Majungu na Uswahili! Na hili Kukudhihirishia Kuwa Sijaweka hapo hilo Tangazo Kwa Bahati Nimekuwekea hadi hizo Namba za Simu Kwa Uhakika Zaidi na Ningekubaliana na Kauli Yako hiyo Kwamba ni Picha la Kihindi Kama Umejaribu Kuwatafuta hao Wenye Namba Hizo niliziziweka hapo na Kuona Kama ni Waongo Kisha Ndipo Useme Utumbo Wako Humu. Nina Mashaka na IQ Yako na Yawezekana Ukawa Unafikiria Kutumia ------ na Siyo Ubongo Wako. Na Kwa Ujinga Wako Ningekuwa Nakufahamu Ningebadilishana na Mtu Gunia la Mahindi na Wewe Kwani You're Useless and Hopeless too. Nawashukuru Waliopiga zile Namba na Sasa kuna Watu Wawili Wana Negotiate na Owner wa Kiwanja hicho na Nitawaomba Waje humu humu ili Wawahakikishie Kama ni Picha la Kihindi au ni Jambo la Uhakika.
 
Mkuu nadhani jamaa alitaka uweke picha ya maeneo hayo. itakuwa lugha gongana.

Ni mawazo yangu tu.

Sorry, nlikuwa sijamsoma vizuri kumbe kaandika picha la kihindi. Mi nlidhani kaandika picha la malindi.

Endelea nae mkuu.
 
Achana Nae Kwani Tunajua ktk Kila Msafara wa Mamba Lazima Kuwe na Kenge! Yoyote Yule Mwenye Nia Ya Kukiona na Kukinunua basi anakaribishwa Mbweni Malindi na Kwa Kuepuka Usumbufu zaidi Ningeshauri apige Kwanza Zile Namba Tatu Nilizowawekea Kisha Atapokelewa na Kupewa Maelekezo Yote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom