Salaam wanajamii,nilikuwa na maswali la kibiashara,1.)Nina water pump ya honda nataka kuileta bongo,je naweza kuuza?bei kwa makisio ni ngapi.ni brand new nameinunua hapa uk,lakini sina tena matumizi nayo.
2.)Samsung galaxy4,ina miezi mitatu toka ianze kutumika imenunuliwa uk(kuna proof ikihitajika) ina kila kitu chake original plus hard cover na 64GB of extra memory.Iphone 4,16GB well looked after ipo kwenye hali nzuri.naweza kupata kiasi gani?
Nisaidieni mawazo mkiweza,natanguliza ahsante.