Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habar wana jf. Nifahamisheni bei ya baro za nguo za mtumba...nahitaji
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Samsung Galaxy Music Duos Brand New! 350,000Tsh With 24 months warranty Card +255 756 412 337
0 Reactions
1 Replies
1K Views
2G Network: GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network: HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100 SIM :Micro-SIM Type: AMOLED capacitive...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
mil.8.5 au top up,cc 1490 plate bjr.year 2003 or u can rent it 0779091023
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu. natafuta keyboard ya toshiba satellite L505. kwa anayejua duka zinapopatikana na bei yake anisaidie. laptop ilianguka nataka nibadili keyboard.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale ambao wako kwenye hatua za mwisho za ujenzi wa nyumba zao yaani finishing... Sisi ni wauzaji wa aluminium aina zote,...na bei zetu zinakuwa kama ifuatavyo... Kwa square metre moja ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani mwenye access ya kunipatia visa ya swiden kirahisi anipm tafadhali
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nauza mbao za mninga. Size 2 x 6 na 1 x 8, zina urefu wa futi 7. Kila moja 20,000/=. Zimebaki pisi 50, wahi kabla mzigo haujaisha. Nipo Mafinga. Kwa maelezo zaidi ni PM.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam salaam wakuu. Natumai mu wazima kabisa wote,well................kuna generators wakuu kwa anayehitaji ziko pcs 30 ni za Germany mpya kabisa hazina kelele aina ni Swiss Kraft 2.5Kva na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Samahanini wajumbe ila ni sehem gani hapa Dar naweza pata mashati ya kiume kwa bei nzuri na yawe ya dukani,naomba msaada mana kuna sehem nimeenda na wamesema ni 30 kwenda juu mpaka nkakata tamaa...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Wakuu mtu yeyote mwenye iPhone 4s anayouza tuwasiliane iliyofungwa au iliyo wazi but sitaki ya wizi. Usifikirie kabisa kuniletea ya wizi nitakufunga
0 Reactions
14 Replies
2K Views
kuna kiwanja kingine kinauzwa karibu na azam complex.kiwanja kipo kwenye mtaa unaopitika na gari hadi kiwanjani, huduma zote muhimu zipo umeme ,maji, kiwanja kina ukubwa wa mita 20 kwa 20 kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kuna kiwanja kingine kinauzwa karibu na azam complex.kiwanja kipo kwenye mtaa unaopitika na gari hadi kiwanjani, huduma zote muhimu zipo umeme ,maji, kiwanja kina ukubwa wa mita 20 kwa 20 kwa...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
wakuu naomba kujuzwa jinsi ya ku delete post au uzi.. Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Toyota Fielder 2003 for sale 8500000, you can rent at agreement exchange or top up accepted call 0779091023
0 Reactions
1 Replies
981 Views
HABARI...... Nauza :- sofa ya watu 2 kwa 250,000 (ipo katika hali nzuri na material mazuri) kabati la milango 2 kwa 120,000 (lipo katika hali nzuri pia) kitanda cha chuma...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mercedes ml 350 for sale, 3.7l, 95000 mileage,year-2005, with air condition, leather sit,price is 27million tsh, contact me 0657690970.
0 Reactions
0 Replies
909 Views
ZTE Tablet inauzwa bei ni Tsh 450,000 (laki nne na nusu) imetumika mwezi mmoja tu na haina tatzo lolote... KWA Maelezo zaidi call 0652 206863,napatikana dsm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
isiwe ya uwizi iwe orijino iwe na uwezo wa kuchuka laini 2 iwe haijatumika sana au ipo kwenye hali nzuri, pesa cash iliyopo ni sh elfu50, pesa inaweza kuwa adjusted. napatikana Ubungo, Dar...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Natafuta simu ya kununua bei isizidi 100,000/ Mwenye nayo anichek tufanye business faster!
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Back
Top Bottom