Msaada nahitaji visa ya sweeden

Msaada nahitaji visa ya sweeden

Naona unatafuta kutapeliwa sasa. Visa zinatolewa ubalozini wewe unatangaza JF ?
 
Naona unatafuta kutapeliwa sasa. Visa zinatolewa ubalozini wewe unatangaza JF ?

hahahaha ila anachotaka mkuu ni namna ya kupata kama mbinu gani zinaitajika ili upate fasta ata apo ubalozi.
mwenye kujua amsaidie mkuu
 
Asante kaka kwa kunisaidia visa zinasumbua sana na mm naihitaji haraka na sijui wapi pakuanzia pale ubalozini
 
Aisee nenda ubalozi wao fulstop

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kwa mtindo huu sijui hata kama huko Sweden utafika...

Unatakaje kwenda mahali hata utaratibu wa kufika huko huufahamu hata chembe?

Acha ubwanyenye, fika Ubalozini hapo karibia na International House hayo maswali yako utajibiwa huko
 
Nirushie voucher ya buku10 nimuulize mshikaji wangu wa sweden yeye alipata visa!
 
Back
Top Bottom