Kwa wale wanaofanya finishing na wapo dar es salaam.

Mseti2007

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
493
175
Kwa wale ambao wako kwenye hatua za mwisho za ujenzi wa nyumba zao yaani finishing...

Sisi ni wauzaji wa aluminium aina zote,...na bei zetu zinakuwa kama ifuatavyo...

Kwa square metre moja ni sh.100000,ambayo inajumuisha bidhaa complete yaani kioo na frem zake,pia ni pamoja na ufundi yaani (labour charge) bila kusahau usafiri mpaka saiti (ndani ya dar es salaam)

Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0767316870,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom