Mbao za mninga.

Mbao za mninga.

MansaMusa

Senior Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
103
Reaction score
13
Nauza mbao za mninga.
Size 2 x 6 na 1 x 8, zina urefu wa futi 7.
Kila moja 20,000/=.
Zimebaki pisi 50, wahi kabla mzigo haujaisha.
Nipo Mafinga. Kwa maelezo zaidi ni PM.
 
Back
Top Bottom