'Generators for sale 30pcs,karibuni'

'Generators for sale 30pcs,karibuni'

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,963
Salaam salaam wakuu.

Natumai mu wazima kabisa wote,well................kuna generators wakuu kwa anayehitaji ziko pcs 30 ni za Germany mpya kabisa hazina kelele aina ni Swiss Kraft 2.5Kva na pia zina 6.5Horsepower ziko DAR nime-attach picha hapo chini price ni 1.5ml kwa anayehitaji ani-pm discount ipo,karibuni sana.
 
Attachments

  • Generator_1.jpg
    Generator_1.jpg
    36.6 KB · Views: 104
  • Generator_2.jpg
    Generator_2.jpg
    33.7 KB · Views: 111
'haya ndugu ngoja wadau waje kaka humu hawakosekani wataalam wa hiyo kitu asee...'
 
Unaposema wataalam it means hizi machine ni mbovu mkuu nduki hapana mkuu hizi ni mpya kabisa kiongozi haina haja ya wataalam mkuu.
 
Last edited by a moderator:

'no sijamaanisha wataalam wa kuzitengeneza kiongozi hao wataalam wanaweza kuwa na watu wao hivyo ikawa rahisi kuku-connect nao mkafanya biashara mkuu au nimekosea kaka...'
 
Yah,hujakosea mkuu najua kuwa wataalam wa hivi vitu wana watu wao mbalimbali ambao wanaweza wakawapa info ila hata wewe pia una watu wako wanaokuzunguka pia ambao unaweza ukawapa info pia au na mi nimekosea kiongozi.
 
Salaam salaam wakuu.

Natumai mu wazima kabisa wote,well................kuna generators wakuu kwa anayehitaji ziko pcs 30 ni za Germany mpya kabisa hazina kelele aina ni Swiss Kraft 2.5Kva na pia zina 6.5Horsepower ziko DAR nime-attach picha hapo chini price ni 1.5ml kwa anayehitaji ani-pm discount ipo,karibuni sana.

Mkuu nipo interested lakini hizo ni ndogo sana kwa matumizi yangu. 2.5kVA bado ndogo.

Natafuta 5kVA lakini iwe ya dizel sio petrol.
 
Back
Top Bottom