Habar wana jf.
Nifahamisheni bei ya baro za nguo za mtumba...nahitaji
Ni kati ya milioni 1 mpaka 3. Kama unao mtaji wa kuanzia laki 2 au 3 basi fikiria viatu vya mtumba, unaamka usiku kama saa nane hivi unakuwa tayari pale karume, viatu vizuri vya mtumba ambavyo mchana huuzwa mpaka elfu 50 muda huo usiku huuzwa kati ya elfu 5 mpaka elfu 10. Faida ni zaidi ya mara 2 yake. Jaribu hii ila usiwasimulie watu wengi.