Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu kiwanja kinauzwa kigamboni. Mbele ya dsm zoo. Bei poa kabisaa.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu natafuta simu tajwa hapo juu..iwe kwenye hali nzuri basi mwenye nayo tufanye PM..ofa yangu ni 50000/=
0 Reactions
2 Replies
1K Views
inauzwa I phone 4, 16gb kwa laki 4 tuu 0786 305664
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari Nimeamua kuuza shamba langu ,maelezo kuhusu shamba ni kama ifuatavyo. ukubwa:hekari 30,linauzwa lote kwa pamoja na sio vipande eneo:wami dakawa,karibu kabisa na ranch ya mzee mwinyi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Season offer price zinakwenda chini kama ifuatavyo iphone 4 kwa laki 3 na 50 na samsung galaxy s2 mpya laki 4 tu na ipad 2 ya 16gb wifi kwa laki 5 tu wahi sasa. Serious buyer nipigie kwa namba...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kiwanja cha ukubwa wa m20xm20 kinauzwa,kipo sakina kwa idd na kina uwezo wa kupatikana kwa huduma zote muhimu,maji,umeme,barabara,security,health nk,bei 20m.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nauza shamba maeneo ya chanika majumba sita shamba lina ukubwa wa heka 2 pia lina minazi 2, mikorosho 4 na mimbe midogo 2 pia kuna mihogo ila haijapaliliwa bei milioni 6 ila maelewano yapo namba...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ipad 2 ya 32gb.. 3g and wifi. laki 5.tu
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Imported Passo toka Japan Za mwaka 2004 Automatic transmission Km zipo chini bado Full a/c Radio/Tv Colors zipo tofaut Wahi uchague yko!! Bei 7.5mil Kwa serious wateja Piga 0716398757
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wana JF natafuta wateja wambao vipimo vyote za pine, pia fupi kuanzia futi mbili zinapatikana na mabanzi pia yanapatikana kwa wingi. bei ni maelewano kwa mawasiliano utaliijackson@yahoo.com au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwenye sim hyo ndiyo budget yangu iwe smartphone with 3g na Wi-Fi if possible
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Piga 0718433873an ina 3g ila cover imechoka kidod,napatikan dar
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Matatizo yako yamekwisha.. YAANI MATATIZO KUSHNEI. NJOO UHUDUMIWE!! kama unatatizo au unahitaji huduma hizo ni PM nikuhudumie!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Condition: Used(imported) Brand: Apple Model: iPhone 5 Carrier: Any GSM network Storage: 16GB Color: White & Silver, Black, Black & Grey Camera: 8.0 MP iOS: 7 NB: SIMU ZIKO 3 ila rangi tofauti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ekali 12 zinauzwa panafaa kwa hotel ,kiko karibuna pwani/beach .piga 0715341107
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nauza shamba maeneo ya chanika majumba sita shamba lina ukubwa wa heka 2 pia lina minazi 2, mikorosho 4 na mimbe midogo 2 pia kuna mihogo ila haijapaliliwa bei milioni 6 ila maelewano yapo namba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nauza galaxy tab 3 full box na ni brand new.... price: Tsh 700,000 internal 8gb ,no sim card. other specs try to google galaxy tab 3. FOR SERIOUS BUYER..PLZ CALL..0767879784
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari ukubwa:hekari 30,linauzwa lote kwa pamoja na sio vipande eneo:wami dakawa,karibu kabisa na ranch ya mzee mwinyi faida:lipo pembeni ya mto wami,na linafaa kwa mpunga,na pia mboga mboga kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wapi nitapata hiyo mashine wakuu? na bei zake zipo vipi? kwa yeyote anaefahamu tusaidiane please. shukrani sana.
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wadau wa ardhi, *Nyumba hii inauzwa jijini Mwanza. *Ipo eneo la Luchelele, mbele ya SAUT, *Ni nyumba mpya ipo kwenye finishing, *Inavyumba 3, master 2 na kawaida 1, *Plasta ndani na nje...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom