Mpevu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 1,803
- 179
Wadau wa ardhi,
*Nyumba hii inauzwa jijini Mwanza.
*Ipo eneo la Luchelele, mbele ya SAUT,
*Ni nyumba mpya ipo kwenye finishing,
*Inavyumba 3, master 2 na kawaida 1,
*Plasta ndani na nje tayari, isipokuwa kwenye veranda kwa nje ndio bado kukamilishwa.
*Sinki la choo tayari pamoja na chamber zake.
*Ndani kote niliweka cement (kwa kuanzia maisha).
*Nyumba ni mali yangu binafsi.
*Eneo ni surveyed na ipo kwenye ramani,
*Mmiliki wake ni mimi mwenyewe,
*Inalo eneo mbele kubwa tu,
*Miti ya vivuli ipo,
*Ni jirani ya shule ya sekondari Luchelele kwa mbele, na upande wa kushoto ipo jirani na shule ya msingi Luchelele, kwa upande wa nyuma ipo jirani na kinapojengwa chuo cha taifa cha PCCB.
*Si mbali kuelekea beach za Luchelele ziwani ni walking distance.
*Daladala ndio zimeanza kama 2 tu.
*Eneo la Luchelele limezungukwa na beaches kama saba, kutoka eneo la nyumba kwenda ziwani beach ni kama 800m.
Bei ni 33m.
Kwa mawasiliano:
0759988889-whatsapp pia.
0755800252
0715988888