Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Vinapatikana kimara suka dk 5 toka morogoro road sh laki moja kwa mwezi kodi miezi sita. Contact 0715688433 Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I pad 3 inauzwa used katika hali nzuri sana, WIFI + 3G 16GB nipo dar inahitaji laki 6 tuu nichek 0786-305664
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nauza cm hiyo hapo juu,nimetumia mwaka 1 tu. plz PM Niko dsm.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nauza cm hiyo hapo juu. Iko katika hali nzr sana(no scratches) Nipo Dar PM if interested
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Za asubuhi ya leo Waungwana,natafuta sofa imara na comfortable hapa DSM kwa reasonable price (something btn 1 to 1.5 M) kwa wenye uzoefu tuelekezane kwa kwenda Natanguliza shukrani.
0 Reactions
7 Replies
9K Views
ni mpya kabisa zinapiga kazi mfano hakuna ni very smart and good to use nipo dar!!! ni gallaxy 4 min
0 Reactions
5 Replies
949 Views
Habari wandugu Mimi ni mtaalamu wa mambo mbalimbali ninatafuta tenda za kupamba katika kumbi mbalimbali za sherehe, au shughulli kama vile mikutanoni, misibani, na shughuli yoyote, ni mtaalamu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau, nina samsung galaxy pocket( 6months used) -its in excellent condition,,((no scratch))---ipo ndani ya cover since imetoka kwenye box na screen protector -unapata na new 4gb memory...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF Naomba taarifa mahala ninapoweza kupata vifaa vya car wash kwa maana ya mashine na vifaa vingine. lengo langu ni kuanzisha car wash mitaa fulani hapa Dar Asanteni
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau nina chumba na sebule...nimepanga hivi karibun sijahamia bado lakin nimepata kazi zanzibar...so nahitaji mtu a kurudisha kodi yangu tu miezi 8 asaini mkataba mwenyewe
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Financial Accounting and Reporting 20,000 Corporate Governance 10,000 Principles of Microeconomics 10,000 Advance Cost and Management @ 20,000 Accounting Cost and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiwanja kipo maeneo ya ILALA,BUNGONI-DAR ES SALAAM kwa maelezo zaidi piga namba 0754585298,0713844899 :israel:
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau salaam zenu. Ninatafuta GPS aina ya GARMIN,Model Legend HCx,eTrex Mwenye nayo anijibu au ani PM tafadhali. Shukrani.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habarini wakuu? Nahitaji kununua flat screen ya startimes yenye kutumia kadi ya startimes,ukubwa kuanzia Inch 24.PM tufanye biashara.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mahitaji yako ya namna ya kutumia Tally ERP, Myob na Quickbook. Software hizi hutumiwa katika biashara mbalimbali mfano, Bureau de change, Pharmaceutical Industry, Hotel, Bar na Club Maduka...
1 Reactions
0 Replies
952 Views
Imetumika miezi 3 ipo kwenye hali nzuri.. 0657781616
0 Reactions
2 Replies
1K Views
natafuta pular 200sn
0 Reactions
0 Replies
720 Views
wakuu naombeni kama kuna mtu anaweza nielekeza kwa dsm naweza pata wapi FIREWORKS (FATAKI). naskuru sana
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana! Bajeti yangu ni laki 2 naweza pata cm nzuri. Mwenye cm nzuri kama vp Nokia e72, I phone 4 anipm apate pesa ya fasta. Note sitaki Huawei yyt Ile wala techno yyt Ile. Nasubiri...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwanza ujue haitembei, hivyo inauzwa kama skrepa au kwa yule anahitaji kuifufua au kwa ajili ya vifaa.... Point ni kwamba inauzwa complete... Utangulizi>>> gari ni ford explorer xlt engine...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom