Kianja kinauzwa sakina-arusha

Kianja kinauzwa sakina-arusha

Joined
Dec 10, 2013
Posts
51
Reaction score
8
Kiwanja cha ukubwa wa m20xm20 kinauzwa,kipo sakina kwa idd na kina uwezo wa kupatikana kwa huduma zote muhimu,maji,umeme,barabara,security,health nk,bei 20m.
 
watakuja tu wahitaji. miss u Mr Liverpool Fc
 
ardhi ya arusha ina bei sana kwa kweli...dahh.... wacha tukaishi gomba estate.. bado angalau kuna vya 6m mpaka 8m.
 
Back
Top Bottom