nauza shamba maeneo ya chanika majumba sita

nauza shamba maeneo ya chanika majumba sita

Joined
Dec 19, 2012
Posts
77
Reaction score
13
nauza shamba maeneo ya chanika majumba sita
shamba lina ukubwa wa heka 2
pia lina minazi 2, mikorosho 4 na mimbe midogo 2
pia kuna mihogo ila haijapaliliwa
bei milioni 6 ila maelewano yapo

namba 0789 444 993
0713 444 993
 
msubiri preta akifikisha 75 atakuja kuishi huko
 
Back
Top Bottom