Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu, kwa mahitaji ya viwanja Dar , karibu uhudumiwe na ABC properties, kwa malipo ya cash au kidogo kidogo, kuna viwanja vya Mbagala mvuti cash ,sqm 1=13000 miezi 18, sqm 1=15000 miezi...
0 Reactions
63 Replies
8K Views
Habari wana JF naulizia anaeuza ubuyu mweupe kwa jumla kuanzia debe. Pamoja na unga wa ubuyu. Asanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jf, nina kipengere nimeona niuze laptop yangu ambayo ni mpya kabisa haina hata mchirizi wala mkwaruzo. Hp corei7 proc up to 4ghz gen 10 ram 8gb ssd 1tb 15.6' Bei yake ni 1.5Mil...
0 Reactions
4 Replies
673 Views
Habari zenu wakuu Nahitaji kuondoa mistari kwenye flat screen ya TV yangu. Kuna hii huduma ya LCD LED OLED etc screen bonding ambayo ndiyo suluhisho. Jee, kwa anayejua, niende wapi kupata...
0 Reactions
10 Replies
999 Views
Habari, nauza TV yangu baada ya kubadilisha na kuwa na nyingine hivyo nimeona ni busara kupitia hii. Brand: LG LED TV Size: 43inch Price: Tzs 350,000 Inafanya kazi vizuri sana with super clear...
1 Reactions
10 Replies
980 Views
NEW NEW NEW HAINO TEKO COMBO GERMANY [emoji629] [emoji383] 120,000:TSH [emoji390]0713579248 ORIGINAL FROM GERMANY HIGHER QUALITY UNAPATA SAA UNAPATA MIWANI WATER RESIST[emoji98] *UNACONECT...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Heshima yenu wakuu. Nina shida na second hand iPhone asap na budget yangu ni 650k so probably naweza kupata japo 11 pro max, and if I am fortunate enough basi brother au sister mmoja anaweza...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari, natafuta soko au mteja wa mchele kutokea mbeya, akipatikana atakaeweza kuununua wote itakuwa vizuri. Mawasilisno: 0769977222
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habariii wanajamii, kama kichwa hapo juu kinavyojieleza. Kwa wale mnaohitaji kujifunza Web designing and development karibuni. Kwa wenye Basics kidogo (HTML, CSS, JavaScript, PHP) - course...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
TUNATENGENEZA FLAT TV ZOTE TUNABADILI TAA TUNABADILI CARD TUNATENGENEZA PLASMA TV LCD TV TUNAFUNGA GPS KWENY TV YKO TUNABADILI VIOO TUNAUZA POWER SUPPLY ZA TV MBALI MBALI TUNAFUNGA AIR...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani natamani sana hizi nguo za cowboy; Hapa Dar au Tanzania naweza kuzipata wapi full complete na kwa bei rafiki?
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwema wana JF. Kama kuna mtu yupo humu,anaefanya kazi Busweru wilayani,au ana mtu wake huko,naomba anisaidie namba tafadhali. Kuna mtu namtafuta huko,na namba alokuwa akitumia haipatikani kwa mda...
0 Reactions
2 Replies
475 Views
Kama heading ilivyo. Nipo Kahama. Nahitaji kununua TV used. Budget yangu ni 350,000/= Kama unayo naomba ukuje inbox
0 Reactions
3 Replies
770 Views
Habari za mchana wakuu. Mimi niko ukerewe-Nansio. Natafuta wafanyabishara wa nafaka wa jumla walioko jijini Mwanza. Nafaka ninazotaka ni kama vile maharage, karanga, kunde, dengu, choroko n.k...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za humu wana jamii, Kuna duka moja la nguo na vitu vingine vya kıume lilikikuwa mtaa wa ZANAKI mjini Dar es salam limehamishwa/ kufunhwa naomba kujua anaefahamu wamehamia wapi au duka...
1 Reactions
1 Replies
769 Views
Habari ya majukumu wakuu. Ninahitaji mbuzi wawili (jike) wa maziwa. Sina uzoefu hasa wa majina ya breed zake lakini itoshe kusema kuwa wawe ni wale wa kisasa ambao wanatoa maziwa kwa wingi. Kama...
1 Reactions
2 Replies
670 Views
Kizinga technician Tunatoa huduma za utengenezaji Tunangeneza TV Tunangeneza Monitor Tunatengeneza Desktop Tunatengeneza Laptops Tunatengeneza projector Tunatengeneza printer Tunapatikana...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Habari za hasubuhi ndugu wazazi pamoja na walezi.Kama una mtoto wako ambaye ni mzito au hata kama sio mzito lakini unahitaji asome (Home schooling au Home Tuition) huduma hyo inapatikana Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Back
Top Bottom