Habari wana jamvi, natafuta soko la pumba za mahindi.
Kwa sasa nina jumla ya gunia 1,000 zenye ujazo wa debe saba kila moja.
Mahali: Kasulu Kigoma
Mawasiliano: +255 76 2 061 694
Ahsanteni sana.
JE WAJUA KAMPUNI YA NEMTEK:
Nemtek imekuwa nguvu ya ubunifu na ya kutegemewa katika tasnia ya uzio wa umeme kwa zaidi ya miaka 30. Inatengeneza anuwai kamili ya vichangamshi na maunzi ya uzio...
NOW NI MFUMO WA KUCHAKATA RATIBA YA VIPINDI AUTOMATICALLY
Huu Ni kwa level zote za elimu
[emoji3591]Chekechea
[emoji3591]Primary school
[emoji3591]O level
[emoji3591]A level
[emoji3591]Vyuo...
Kuna utofauti kati ya kampuni na jina la biashara (business name).
Jina la biashara ni jina la utambulisho ambalo umeamua biashara yako ifahamike na kuitwa.
Mfano ni majina ambayo wengi...
Je, umesoma kitabu hiki? Angalia picha ya gamba (cover) lake kitabu hicho.
Na, je, unajua maana ya usonji?
Kwanza tuujue usonji (Kiingereza, autism)
Usonji ni hali ya kuwa na changamoto za...
Habari wana jamii nahitaji supplier wa hii miti ni micharaka inaitwa au mkambara nahitaji PC 8000 location bagamoyo kidomole kila PC ntalipia 3000 namba zangu 0658009530
Naitwa Alfredy Angelo natafuta kazi, nina ujuzi katika fani ya ujenzi. kama kujenga, kupiga plaster, kufitisha madirisha na flemu za milango asante. Napatikana Dar es salaam.
+255676237106
Ndugu wafanyabiashara, wajasiriamali na wabobezi wa masuala ya uchumi wasalaam!
Mimi huwa najishughulisha na uchimbaji wa madini ya Rubby na Dhahabu, sasa naomba kwa mwenye uzoefu wa soko zuri la...
Hizi App kwa sasa zipo tayari:
Tokomeza utoro wa wanafunzi shuleni.
1. Attendance app
By one click sms yakawaida inamwendea mzazi. Haihitaji kuwa na computer wala mtandao wa internet...
Heka zipo Arusha maeneo Kingori, Kikatiti, Maji ya chai na sehemu zingine.
Heka zilizopo km 4 ni kuanzia ml 11 unaweza kulipia cash au kidogo kidogo.
Heka zilizopo km 5,6,7, na kuendelea unaweza...
Nature of Business: Ecommerce/Online,Softwares/System/IT
Nature of Products: Webhosting Services/CRM and ERP Systems
Annual Revenue Potential:5,000,000-25,000,000
What you Get:
Training and...
Habari za majukumu ladies and Few Gentlemen
Nauza Hizi Grill ziko 7.
Bei ya Hasara, elfu 95 kila moja.
Utaweka kwenye milango yako na unaweza kupunguza kulingana na Size ya Mlango wako...
-Ukubwa wa storage usipungue GB50
-RAM isipungue 4
-kioo hata nch 14 kiwe kina rangi nzuri
-Iwe na window currently
-key board yoyote ilimradi iwe haina shida
-Mouse iwe optical
-VGA and power...
Wakuu habari za kutwa,
Niko hapa kumtafuta mtu au kampuni inayosambaza ubao huu bora kabisa kwa kutengenezea makabati na showcase mbalimbali.
Kwa wasiofahamu MDF iko vipi ni kama zile marine...
Habarini za majukumu ndugu wadau wa JF.
Ninafanya biashara ya kuuza samaki aina ya sato. Size ya samaki wanaopatikana kwa wingi kwa sasa ni wale wanaovuliwa katika nyavu ya nchi 4 mpaka nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.