Tunapika chakula kwa oda, tunapatikana Kigamboni

Pre form one

Member
Dec 20, 2023
22
35
Habari za leo ndugu zangu, kwa yeyote ambaye atahitaji chai au chakula kwa ajili ya staff, saiti members, sherehe ndogo, mtu binafsi, kampuni, asisite kuwasiliana na sisi +255758131425.

Tunapika chakula unachokihitaji, tunapack vizuri tunakuletea mpaka mlangoni, kama ni kampuni unaletewa kulingana na mda uliotupangia na malipo yanakua ni maelewano.

Ahsante na karibu sana.
 
Safi sana jitahidini maana biashara ya chakula imekua na ushindani sana kwasasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom