Nyumba/apartment ya kupanga nje ya mji inahitajika HARAKA

Silicon Valley

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
1,092
1,116
Nyumba/apartment ya kupanga nje ya mji inahitajika HARAKA
maeneo yote ya Kigamboni, Bunju, Mbweni, barabara ya Bagamoyo

Iwe na vyumba 3 at least 2 self-contained, Lounge , Dinning
Iwe nje kabisa ya jiji Dar, at least 25 to 40 km
Iwe na facility zote umeme , maji, n.k
Iwe na USALAMA fence
Iwe na parking ikiwezekana
Iwe karibu na barabara kubwa

Kwa yeyote mwenye taarifa ani PM
 
Ushapata nyumba? Ninayo sifa zote hapo juu,ila one self na nimejengea kabati ukutani.
 
Nyumba/apartment ya kupanga nje ya mji inahitajika HARAKA
maeneo yote ya Kigamboni, Bunju, Mbweni, barabara ya Bagamoyo

Iwe na vyumba 3 at least 2 self-contained, Lounge , Dinning
Iwe nje kabisa ya jiji Dar, at least 25 to 40 km
Iwe na facility zote umeme , maji, n.k
Iwe na USALAMA fence
Iwe na parking ikiwezekana
Iwe karibu na barabara kubwa

Kwa yeyote mwenye taarifa ani PM
Iko Mbweni Teta vyumba,4,3 self electric fence unahitaji?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom