Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari, Nina dumu 200 za asali mbichi, Lita 20 natafuta wateja ziko Tabora, nzuri sana nyuki wakubwa, imevunwa mwaka Jana,kuhusu bei Lita 20 nauza 130,000 Kwa Kila dumu.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa anayependa kufanya biashara ya platform za AI hizi za Generative (kutengeneza Picha na maandishi) Nina platform ambayo nilitengeneza na siku itoa public... ninauza Kwa interested buyer...
2 Reactions
2 Replies
653 Views
Habari Nauza kiwanja Kibaha kwa mfipa chenye ukubwa wa miguu 20 kw 19 Bei ni Tshs 3,500,000 maongezi kidogo yapo Kiwanja ni changu mwenye, kipo sehemu nzuri na huo mtaa maji, umeme na huduma...
1 Reactions
7 Replies
762 Views
Nauza Alteza cc 1990 bei 4.6m GARI NI NZIMA KILA KITU Sema Kuna kamlio tu kwa mbaali! Kwa mbali sana Unaweza usijue Contact: 0748270719
1 Reactions
7 Replies
893 Views
Habari wana JF...natafuta kioo(Display) cha SAMSUNG A5 ya Mwaka 2017...Kama kuna mtu ana simu hiyo ambayo imekufa mashine aniuzie kioo. NASHKURU Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Material ni ngozi, Ni imara na vinadumu Bei 15,000
1 Reactions
36 Replies
2K Views
TREKKING ADVENTURE ACROSS MOUNT KILIMANJARO AND MOUNT MERU Welcome to African Yellowstone Safari, where we transform your travel dreams into extraordinary, once-in-a-lifetime adventures. As a...
2 Reactions
1 Replies
473 Views
Habari wakuu, Nina vikombe vya udongo takriban 200 hapa ofisini naviuza. Chukua kuanzia 10, update kwa elfu 14500 TU. Call 0628731833
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, napatikana Mbezi Beach Jogoo.. Gharama ya kila cret ni Sh 15000. Napatikana kwa namba 0764813772.. Karibuni
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wadau natafuta Generator Used from Dubai/New Brand iwe Honda EG 1000, iwe katika condition nzuri Niweze kuitumia kwenye kibanda umiza changu. Kama Hautajali Tafadhali nicheck WhatsApp...
2 Reactions
0 Replies
447 Views
Magauni ya harusi na send off yanauzwa na kukodishwa 0685141035
3 Reactions
16 Replies
831 Views
District Real Estate Workshop ni kozi maalumu kwa wanachama wa makundi yetu ya TZ REAL ESTATE TEAM (TRT) kwa ajili ya kuchambua taarifa na maarifa kuangazia fursa zipatikanazo katika wilaya...
1 Reactions
1 Replies
536 Views
Kiwanja kipo maramba mawili eneo la king’azi, ukubwa 23 kwa 20, Sifa ya kiwanja 1. Kipo sehemu nzuri, karibu na Barabara ya mtaa ya gari, 2. Hakipo mbali na Barabara ya tanroad inayotokea maramba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habari za majukumu, Wakuu nauliza kwa Dar naweza pata wapi kiwanja kizuri walau sqm 600 kwa hapa Dar es Salaam kwa bajeti ya 9m mpaka 15?
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Nauza kuku aina ya saso umri miez 3 Bei 12000 location tanga korogwe Mikoa jiran wanakufkia ninao 85 Mawasliano 0682060425
4 Reactions
17 Replies
1K Views
1. Fukwe za Ziwa Nyasa 2. Ziwa Ngosi 3. Kawetere view point 4. Ziwa Kisiba 5. Maporomoko ya maji Kaporogwe 6. Mpanga Kipengere game reserve 7. Hifadhi ya taifa Ruaha Unaweza kuongeza...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari, Nauza Kabati la nguo, tv stand, sofa na subwoofer Kabati la nguo 120000 Tv stand 30000 Sofa 40000 Subwoofer 40000 Vitu vipo mwananyamala biashara complex Nipigie +255719073206 Note...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari za leo, Inahitajika asali; mwenye kufahamu wapi inapatikana kwa wingi hapa Tanzania, na bei tuwasiliane PM.
2 Reactions
3 Replies
906 Views
Karibu tukupatie VFD kwa bei ya punguzo kwa mwezi huu wa kwanza (January 2023). Bei ya kawaida ni 300,000/= ila kwa mwezi huu wa kwanza tutakuuzia 280,000/= VFD ni mfumo unaokuwezesha kutoa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom