Habari nauza simu aina tajwa hapo juu.
ipo kwa good condition , clean and kila accessory ipo pamoja including charge , air phone and mawasiliano ni. 0756294771....
Habari Jku.
Kwa wale waliofanikiwa kujenga na watakaojenga, baada ya nyumba kukamilika, huwa kunawekwa bomba za kukinga maji ya mvua, zinaitwa gutters.
Kipindi mvua inaponyesha hizi gutters...
Ndugu wanabodi,tunafundisha utengenezaji (ufumaji) was masweta,kofia,scarf nk kwa kutumia machine.Ada yetu ni tsh 300,000/=(laki tatu ).Mda Wa mafunzo ni miezi 2 lakini tunaweza kuongeza mwezi...
Monaco ni jina la brand ya saa inayojulikana sana na yenye umaarufu wa kimataifa. Inatengenezwa na kampuni inayoitwa TAG Heuer, ambayo ni moja ya watengenezaji wa saa wa hali ya juu zaidi duniani...
Habari,Nauza pikipiki yangu aina ya boxer 150 namba c na ipo katika hali nzuri ,yaani sitata inapiga nakuondoka
Bei ni mil.1 na laki 2
Nipo mkoani mbeya wilaya ya mbarali ,rujewa
Hello, Watanzania habari? BYRA TOILET CONSTRUCTORS Tunachimba na kujenga shimo la choo kwa mfumo wa kisasa usiojaa maji taka wala kutoa harufu kwa mda mrefu sana..kwa gharama zifuatazo...
Habari ,ninauza piki piki yangu aina ya boxer 150 namba c,
Piki ipo ktk hali nzuli inatembelea na taili ya nyuma bado mpya kabisaaa.
Piki piki ipo dar es salaam , chanika.
Bei ni sh 580000...
Ni tofali zinazokatwa kwenye Mwamba/mawe zina mwonekano wa kipekee, ngumu /imara mara 5 zaidi ya tofali za kawaida unaweza usipige plasta na ukahamia na ukaenjoy kuishi hapo.
Habari wana jf.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
👉 Aina ya simu ni SAMSUNG A 04 ya rangi nyeusi, nilinunua mwezi wa 5 mwaka huu.
👉 Haina cracks wala faults yeyote ni nzima kabisa...
Wana Jamii,
Tunauza vyomba vya nyumbani Bei za jumla na rejareja. Kwa yeyote anayetaka kuanzisha biashara Kwa Bei nafuu awasiliane nasi namba 0719-756640.
Bei zetu;
50pcs : 190,000/-
100pcs...
Kama unaitaji system za kila haina karibu sana, utatengenezewa system kwa bei nafuu sana.
School management system
Online examination system
HR management system
Collage management system...
Walio dukani au wenye connection naombeni maelekezo Duka linalokopesh PC.
Napenda kujua utaratbu wake. Au mwenye kuweza kuniwekea udhamini.
Na vigezo vyote vya kujidhamini pia kwa wale...
Rafiki yangu mpendwa,
Ukiniuliza ni kitu gani ambacho mtu yeyote akikifanya anaweza kubadili kabisa maisha yake na yakawa bora, sitafikiria mara mbili.
Nitakujibu mara moja kwamba ni USOMAJI WA...
kwa wanaoitaji dipstick za urine nipigie kwa namba 0778422150 nipo zanzibar kijichi bei ni sh.16000 pia machine ya FBP three parts kwa Milion 6 ipo kwa anaeitaji
Habari wanaJF,
Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. Nina binti yangu anahitaji kazi yoyote ile. Iwe ya kufanya usafi, hata kuuza duka. Ni binti ambaye yuko sharp sana. Yupo vizuri katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.