Kila mara Remitano imekuwa ikithamini na kushukuru watumiaji wake waaminifu na wanao support bidhaa na huduma zao, hasa wale wanaopendekeza bidhaa na huduma zao kwa marafiki.
Kwa kutambua hilo...
Habari ninauza simu ambayo inaitwa jina tajwa hapo juu ,
Specifications:
1..Internal memory 128GB , 4GB RAM,
UFS 2.2 - 128GB
2..MAIN CAMERA
Quad 48 MP, f/1.8, 26mm (wide)...
Habari za mida hii wadau wa mtandao huu, wote wazima!? Naomba nije kwenye mada tajwa hapo juu,
Ninaomba kama kuna mtu ana Nyumba anaitaji uangalizi wa mtu labda kukaa ata miaka mimi nipo...
Shalom! Jana nilipata wasaa wa kuzindua kitabu changu cha mfumo wa pdf, kinachoitwa "NJIA PANDA YA USAWA WA KIJINSIA"; kuandika kitabu hiki kumetokana na mguso niliopokea kutoka kwa namna jamii...
Bonjour
Natafuta mayai ya kisasa, Kwa bei ya jumla, ingependeza nipate direct kutoka Kwa mfugaji ..
Yawe na sifa ya ukubwa na kiini Cha njano
Uwe dar es salaam
0742596431
Habari wana JF Members,
Nna bajet ya laki tatu na Nusu, nafikiria kutafuta simu ya Redmi 12 yenye Gb 128 storage.
Gb 8 RAM au naweza kupata Samsung kali yenye sifa hzo yaani ( gb 128 storage, 8...
Wakuu habari, inahitajika gari aina ya Rav 4 Old Model, iwe Long chassis ama short chassis, kuanzia Namba B
BAJETI: Tsh 7,000,000 (Milioni 7).
Iwe katika good condition! Location ni Dsm. Kwa...
Wakuu nahitaji chumba cha kupanga kiwe Tanga mjini mtaa wowote ule kiwe chumba kimoja ambacho kinajitegemea tafadhari niambie bei yake hapa baada ya hapo nitumie namba PM.
Ova.
Audit and assurance services are crucial for businesses in ensuring financial transparency, compliance with regulations, and maintaining stakeholders' confidence. Hellen & Jeff Consulting Group is...
*Whatsapp/Call 0719668825
* Kimara Baruti, DSM
*Bei ni Tsh 90,000/=
Stendi kwa ajili ya simu/tablets, inasaidia kwa shughuli mbalimbali ikiwemo:- kuangalia movies,kurecord videos, kucheza...
Salute wana JF
Ni matumaini yangu kwamba kila mtu anayetaka kufanya biashara fulan bas hufanya kwa lengo la kupata faida. Leo nataka niongee kuhusu wale tunaofanya biashara ya forex. Najua kwmba...
Habari za saa hizi wote kwa ujumla.
Tumshukuru Mungu kwa uzima .
Nakuja kwenu nikiwa nawaletea habari njema wale wenye maduka ,supermarket,pharmacy na kadhalika.
Tuna mfumo wa mauzo ambao...
Eneo kubwa na zuri linauzwa pamoja na nyumba yake.
Lina ukubwa wa MITA 70 kwa 21.
Ndani ya eneo kuna nyumba yenye vyumba vinne,viwili ni master na vingine ni vya kawaida,sebule kubwa pia na...
Nauza Heka 3 zipo Kibaha
Zina hati zimepakana na barabara ya kwenda Morogoro. Heka moja nauza mil 300 eneo ni zuri sana kama unahitaji piga sim no 0659161693. Karibuni sana
GCC COMPANY LIMITED ..DEALS WITH FURNITURES AND BED SOFA and more...... MAKING-TUPO , KCMC MAPIPA ROAD MOSHI-KILIMANJARO.
Huduma zetu :
1. Kutengeneza makabati ya nguo (dress table included) ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.