INAUZWA Nauza Tank Kiboko 3000L

Ally Abdulrahman

Senior Member
Mar 28, 2015
119
212
Habari wakuu.

Nauza Tank langu KIBOKO LITA ELFU 3. Bado jipya tangu ninunue Lina miezi 7 nahofia kuibiwa maana mlinzi WA site hatulii kazini nahofia hasara mara mbili Bora nipate hasara moja ya kuuza bei chee.

Nauza 400k Tu maongezi yapo karibuni. Niko Dar KIGAMBONI Kama unaishi Dar na unahitaji nichek tuyajenge

0683508256View attachment 2874326


Screenshot_20240117-113952.jpg
 
Nimelitumia miez 7 Tu. Nahofia kuibiw maan mlinzi hatulii site so Bor nipate nusu hasar kuliko kukosa kabis . Dukani ni 530,000
 
Nimenunua simtank jipya kabisa lita 3000 kuletewa mpaka site 350,000 alopelekewa alitaka tank lenye weupe ndani hakutaka jeusi ,,hivyo kwa ushauri tu rekebisha bei used ni used tu
Nakuelew mkuu. Hili sio SIMTANK hili ni KIBOKO na kiboko ni imara San na Nd ambayo ndan meupe na ni magumu San uliza hardware yeyte. KIBOKO LITA elfu 3 haishuki chini ya 500k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom