Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni na kimepimwa

vumiliag

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
375
700
Habari zenu wakuu

Kiwanja kinauzwa kigamboni njia ya kwenda changani beach

Dege kituo kinachofuata

Kiwanja kimepimwa na kina hati

Huduma zote za kijamii zipo

Ukubwa wa kiwanja ni 587 Sqmt


0692669235

NB: mods naomba msifute huu uzi nmepost mara ya kwanza mkafuta sijui maana yenu nini kufuta kitu anachopost mtu

IMG-20221001-WA0000.jpg
 
Huko changani ni umbali gani toka ferry
Toka ferry ni da 40 sina uhakika na kilometer ........kilipo kiwanja kuna shule na soko na ninjia yakwenda kichangani huko iliko hotel mpya
 
Back
Top Bottom