Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habarini wadau. Nauza cement grade 42.5 kampuni ya Camel kwa bei ya 15,000 kwa mfuko. Eneo ni Tabata Saanene. Bei ni nafuu kwa kuwa ninafunga biashara. Imebaki mifuko 200 tu. Wahini sasa. Risiti...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Kampuni ya simu ya TECNO katika kuendeleza kutoa bidhaa zilizo bora na zinazoendana na technologia ya kisasa, tunakuletea lile toleo la kubwa Zaidi kwenye mtiririko wa PHANTOM ambalo watumiaji...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Viwanja vizuri kwa makazi vinauzwa block 19, Kibada wilaya Kigamboni. Viwanja hivi vina sifa zifuatazo: 1. Vipo katika eneo zuri kwa makazi vikizungukwa na makazi yaliyopangiliwa na yenye kuvutia...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Karibuni wote tunauza mashuka bei zinatofautuana. Tunauza cover za sofa na za bed cover. Tunauza mapazia kwa bei nafuu karibuni wote ni ukitaka kujua bei ya chochote hapa. Nipigie 0699 227942...
5 Reactions
22 Replies
953 Views
Offer. Kwa yeyote mwenyewe pikipiki ya umeme zile ndogo (electric scooter) used anayeiuza au hana uhitaji nayo kwa sasa na anaiuza hebu anicheki hapa nahitaji kwa matumizi ya nyumbani...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Boxer bm150 Haina tatizo lolote unapiga starter unaondoka Nzuri sana kwa wenye maduka makubwa ya jumla kwa ajili ya usambazaji bei Tsh 680,000 0658643636 Mbezi Magufuli stand
1 Reactions
4 Replies
829 Views
Habari wakuu, kwa mahitaji ya viwanja Dar , karibu uhudumiwe na ABC properties, kwa malipo ya cash au kidogo kidogo, kuna viwanja vya Mbagala mvuti cash ,sqm 1=13000 miezi 18, sqm 1=15000 miezi...
0 Reactions
63 Replies
8K Views
Habari wana JF naulizia anaeuza ubuyu mweupe kwa jumla kuanzia debe. Pamoja na unga wa ubuyu. Asanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jf, nina kipengere nimeona niuze laptop yangu ambayo ni mpya kabisa haina hata mchirizi wala mkwaruzo. Hp corei7 proc up to 4ghz gen 10 ram 8gb ssd 1tb 15.6' Bei yake ni 1.5Mil...
0 Reactions
4 Replies
664 Views
Habari zenu wakuu Nahitaji kuondoa mistari kwenye flat screen ya TV yangu. Kuna hii huduma ya LCD LED OLED etc screen bonding ambayo ndiyo suluhisho. Jee, kwa anayejua, niende wapi kupata...
0 Reactions
10 Replies
996 Views
Habari, nauza TV yangu baada ya kubadilisha na kuwa na nyingine hivyo nimeona ni busara kupitia hii. Brand: LG LED TV Size: 43inch Price: Tzs 350,000 Inafanya kazi vizuri sana with super clear...
1 Reactions
10 Replies
977 Views
NEW NEW NEW HAINO TEKO COMBO GERMANY [emoji629] [emoji383] 120,000:TSH [emoji390]0713579248 ORIGINAL FROM GERMANY HIGHER QUALITY UNAPATA SAA UNAPATA MIWANI WATER RESIST[emoji98] *UNACONECT...
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Heshima yenu wakuu. Nina shida na second hand iPhone asap na budget yangu ni 650k so probably naweza kupata japo 11 pro max, and if I am fortunate enough basi brother au sister mmoja anaweza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari, natafuta soko au mteja wa mchele kutokea mbeya, akipatikana atakaeweza kuununua wote itakuwa vizuri. Mawasilisno: 0769977222
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habariii wanajamii, kama kichwa hapo juu kinavyojieleza. Kwa wale mnaohitaji kujifunza Web designing and development karibuni. Kwa wenye Basics kidogo (HTML, CSS, JavaScript, PHP) - course...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
TUNATENGENEZA FLAT TV ZOTE TUNABADILI TAA TUNABADILI CARD TUNATENGENEZA PLASMA TV LCD TV TUNAFUNGA GPS KWENY TV YKO TUNABADILI VIOO TUNAUZA POWER SUPPLY ZA TV MBALI MBALI TUNAFUNGA AIR...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani natamani sana hizi nguo za cowboy; Hapa Dar au Tanzania naweza kuzipata wapi full complete na kwa bei rafiki?
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwema wana JF. Kama kuna mtu yupo humu,anaefanya kazi Busweru wilayani,au ana mtu wake huko,naomba anisaidie namba tafadhali. Kuna mtu namtafuta huko,na namba alokuwa akitumia haipatikani kwa mda...
0 Reactions
2 Replies
474 Views
Kama heading ilivyo. Nipo Kahama. Nahitaji kununua TV used. Budget yangu ni 350,000/= Kama unayo naomba ukuje inbox
0 Reactions
3 Replies
766 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…