Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jamani kama mnavyojua nchi hii bei za vitu avitabiriki, kujiwekea akiba ni jambo la msingi sana, leo sukari inasumbua lakini kwa waliokua na akiba ya kutosha mambo ni shwari. Haya hii hapa fursa...
0 Reactions
7 Replies
905 Views
Habari wanajukwaaa kwa wale wenye mashamba mifugo kama kuku, bata, kanga n.k mimi ni fundi wa kuunda vitotoleshi vinavyotumia nishati ya umeme, sola, geneleta pia ni nina ujuzi wa kulea vifalanga...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Hatimae chaneli za Kiswahili zaanza kupatikana katika king'amuzi cha Canal+ ambacho pia kinarusha mechi mbalimbali za soka za ulaya kwa lugha ya kifaransa. King'amuzi hiko ambacho kinapatikana...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari za leo wadau. Natafuta fundi anayeweza kujenga tanki la maji la chini ya ardhi kuanzia tanki lenye ujazo lita elfu 24 za ujazo na kuendelea. Ningependa awe fundi asiyetumia teknolojia ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wana jamvi Naiza viwanja viwili vyote kwa ujumla ni sq750, vimepimwa na vina hati kubwa.......vipo nzuguni Dodoma Bei 7,500,000/= vyote Contact 0655517964
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nyumba ni ya zamani sana ina vyumba vinne, Ina eneo lisilo pungua 500sqm. Ni nyumba ya familia. Kwa mawasiliano: 0743244734
0 Reactions
16 Replies
769 Views
Kwanini utumie jiko hili la mkaa kidogo 1. Jiko la kupendeza kwenye nyumba yako limeundwa katika umbo la kupendeza na malighafi zilizounda jiko ni za mithiri ya silva hivyo linakupa unadhifu. 2...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Naitwa @realivanbreaker ni Digital Marketer na pia ni Tech-Preneur. Nina fanya shughuli mbalimbali kama kuandaa Contents, kushoot video na kupiga picha ( Commercial/Corporate videos & photos ) Na...
1 Reactions
2 Replies
475 Views
Naomba mnisaidie kupata soko la dizaini ya mikoba hii [emoji116][emoji116] Niko naizalisha mimi mwenyewe ila bado sijapata soko la uhakika Kama pia mtu anaweza nisponsor kwa kununua kwa bei ya...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Mwana JF, Je Wajua? Kuchakata mafuta ya alizeti au mafuta mengine yoyote ya mimea (oil refinery) ni hatua muhimu sana katika kuhakikisha ubora wa mafuta kwa matumizi ya binadamu. Je, unafahamu...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Karibu!! karibu!! NIT TUNAFUNGA GAS KWENYE MAGARI ya petroli kwa mkoa wa dar es Salaam TU kwa utaalamu wa hali ya juu unaofanywa na wahandisi wa magari na kuifanya gari yako kutembea bila gharama...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii kadi niliiokota maeneo kaloleni Arusha nyuma ya kanisa la pentecoste kaloleni Kama una mfahamu naomba umjulishe nimejaribu kulitafuta hilo kwenye mitandao sijalipata Nimeenda pia wanapouza...
3 Reactions
7 Replies
529 Views
Salaam Inahitajika haraka Madini ya chuma,shaba, lithiamu, risasi ya zinki. Muhimu Umesajiliwa Brela Unalipa kodi Una lessening ya biashara Uthibitisho wa uwezo wako wa ku supply Nipigie...
1 Reactions
0 Replies
326 Views
Wakuu habari za majukumu, Mimi ni muuzaji wa duka LA vipodozi, nahitaji msaada kwa anaejua maduka yanauza spray kwa bei rahisi nanpafyum maana ninazo uziwa naona kama ni ghari sna. Nataka...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari Wakuu. Kwa wale wanaonunua bidhaa masoko ya China hasa Yale yanayouza China tu (domestic) hukumbana na changamoto za njia ya malipo. Wachina wengi njia yao kubwa ya malipo ni Alipay na...
6 Reactions
44 Replies
6K Views
Habarini wadau. Nauza cement grade 42.5 kampuni ya Camel kwa bei ya 15,000 kwa mfuko. Eneo ni Tabata Saanene. Bei ni nafuu kwa kuwa ninafunga biashara. Imebaki mifuko 200 tu. Wahini sasa. Risiti...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Kampuni ya simu ya TECNO katika kuendeleza kutoa bidhaa zilizo bora na zinazoendana na technologia ya kisasa, tunakuletea lile toleo la kubwa Zaidi kwenye mtiririko wa PHANTOM ambalo watumiaji...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Viwanja vizuri kwa makazi vinauzwa block 19, Kibada wilaya Kigamboni. Viwanja hivi vina sifa zifuatazo: 1. Vipo katika eneo zuri kwa makazi vikizungukwa na makazi yaliyopangiliwa na yenye kuvutia...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Karibuni wote tunauza mashuka bei zinatofautuana. Tunauza cover za sofa na za bed cover. Tunauza mapazia kwa bei nafuu karibuni wote ni ukitaka kujua bei ya chochote hapa. Nipigie 0699 227942...
5 Reactions
22 Replies
953 Views
Offer. Kwa yeyote mwenyewe pikipiki ya umeme zile ndogo (electric scooter) used anayeiuza au hana uhitaji nayo kwa sasa na anaiuza hebu anicheki hapa nahitaji kwa matumizi ya nyumbani...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…