Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu naombeni mnisaidie ni sehemu gani apa dar es salaam wanauza digital satellite signal finder/meter, na bei yake ni kiasi gani?
0 Reactions
3 Replies
860 Views
Hello wakuu, Nipo dodoma natafuta Mwalimu atakae weza kunifua kwenye Boxing (yaani mapigano yale ya ulingoni kabisa) kama yupo naomba mawasiliano yake.
0 Reactions
8 Replies
619 Views
habari zenu poleni na majukumu, nina pikipiki aina ya tvs inauzwa nipo dodoma bei laki 9 kwa anaye hitaji anichek pm kwa mazungumzo zaidi Karibuni
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu, nahitaji fremu za kutengeneza mikanda ya gypsum. Anayefahamu inapatikana wapi na ikiwezekana na bei yake akoment nitamfuata inbox tuyajenge. Pia, anayetengeneza hii mikanda naomba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wale wafanya biashara chuma hicho hapo wakuu Ni 65m tu Ipo Dar Piga/ Whatsapp 0698235368
0 Reactions
2 Replies
500 Views
Jamani nani anakioo cha laptop aina ya Lenovo, Think Pad model X260. Cha laptop yangu watoto walidondosha so kimepata hitirafu
0 Reactions
1 Replies
442 Views
Kwa yeyote alie na Land Lover 109 naomba awasiliane na Mimi
2 Reactions
82 Replies
21K Views
Shallom wakuu. Kutokana na maendeleo ya ukuaji wa sayans na teknolokojia zipo njia mbalimbal za kuzuia uhalifu nyumban kwako au eneo lako la biashara. Tumekuletea camera nzuri unayoweza kutumia...
1 Reactions
8 Replies
876 Views
150,000tsh call 0628 880 380 Pixel 4a 5G kila kitu kipo poa mstari tu umejichoraa
0 Reactions
2 Replies
575 Views
Tupo Karume,Ilala Viatuni mtumba Grade one Namba za simu 0689 150 968 0625 557 395
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama unahitaji Mozarella cheese, cheddar cheese au Paneer cheese. Nitafute WhatsApp 0749220083 tufanye Biashara. Kwawasiyo zifahamu, Hua zinatumika kutengenezea Pizza.
1 Reactions
2 Replies
412 Views
Habari Wakuu, Nina kijana wangu amejiunga NIT ngazi ya cheti(HR). Naomba chumba cha kupanga (single room) ndani ya kata ya mabibo au maeneo jirani. Piga 0713 039 875.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii TV imevunjika screen kwa bahati mbaya, sasa kwa yeyote ambaye anaweza kuichukua akabadilishe kioo karibuni nasikiliza offer zenu. Call: 0684 848 801 Karibuni wadau TV ipo Dar es Salaam...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habar wana Jf; Kama kichwa habari kinavyosema nauza laboratory reagents pamoja na laboratory equipments kwa shule za sekondari, vyuo vikuu, taasisi za afya,mashirika ya kiserikali pamoja na yasiyo...
2 Reactions
23 Replies
7K Views
mwenye dikoda ya canal + anidm ninashida nayo
0 Reactions
2 Replies
577 Views
Ofa ya leo tu Busines card kudesign free (bure), endapo utataka kuiprint itakugharimu Tsh. 10000 tu kwa pc 100 Taarifa muhimu kwenye kutengeneza business cards za CCM; Jina Cheo Namba ya simu...
0 Reactions
0 Replies
456 Views
Habari wadau Nahitaji application ambayo itasaidia kurecord stock movements kwenye maduka yangu mawili. Moja ni Head office na moja ni branch. Yaan mtu anaye uza kwenye branch ,taarifa zote...
2 Reactions
7 Replies
637 Views
Nilalalapo na niamkapo naona biashara pekee itakayoweza nfikisha pale napopataka ni biashara ya simu, idea yangu imejikita zaidi katika uuzaji wa simu ndogo kwa kuanzia, hii ni kutokana na udogo...
1 Reactions
2 Replies
703 Views
Habari zenu wanajamvi nimekuja jukwaani kutangaza nafasi kama wewe ni muwekezaji au mfanyabiashara ofisi ipo na kila kitu ni ofisi ya uwakala wewe njoo na mtaji wako na kodi ya miez 6 ikipungua...
0 Reactions
5 Replies
793 Views
Karibuni mjifunze Kingereza hata kwa wale ambao wameshia darasa la 7 usiwe mnyonge njoo ukutane na mtaalamu wa Lugha. Nafundisha kwa njia zifuatazo; 1.WhatsApp. 2.Google meeting. 3.Zoom. NB: Pia...
1 Reactions
5 Replies
532 Views
Back
Top Bottom