Kuna show room moja iko pale fire, karibu na ile shule ya wasichana sijui inaitwaje, sijui ndio Zanaki! Niliwahi kuiona Landrover kali damu ya mzee na nadhani walikuwa wanataka milioni ishirini... Kawatembelee...
Mkuu, Landrover 109 naifahamu kupita maelekezo... Kwenye miaka ya 1980-90 mzee wangu alikuwa ni mkuu wa chuo na hizo gari ndio walikuwa wamepewa kila chuo... Pia mwaka 94 tulikuwa tunamiliki Landrover 109 mpaka mwaka 98 hiv. Mwaka 2001 wakati naenda driving school nilijifunzia kuendesha gari kwenye Landrover 109... So you can imagine jinsi ninavyozijua hizo gari na wala siwezi kuchanganya na 110!Inawezekana we uliyoiona ni labdrover 110...Jamaa anataka 109..arusha inaitwa mandolin.
Mkuu, Landrover 109 naifahamu kupita maelekezo... Kwenye miaka ya 1980-90 mzee wangu alikuwa ni mkuu wa chuo na hizo gari ndio walikuwa wamepewa kila chuo... Pia mwaka 94 tulikuwa tunamiliki Landrover 109 mpaka mwaka 98 hiv. Mwaka 2001 wakati naenda driving school nilijifunzia kuendesha gari kwenye Landrover 109... So you can imagine jinsi ninavyozijua hizo gari na wala siwezi kuchanganya na 110!
Hiyo gari ina pedal ngumu kishenziKwa yeyote alie na Land Lover 109 naomba awasliane na Mimi
Ndio mkuu naihitaji maana hizi za automatic zimenishinda kila nikiiacha home mke nae anakuwa dereva
Kaka nitafute kwa namba hii mimi ninalo linatembea linahitaji marekebisho madogo tu namba ya simu ni 0715426668Kwa yeyote alie na Land Lover 109 naomba awasliane na Mimi
Nini nnazo kama mbili zipo kuna moja iko kurasini na nyingine iko msasani zote ni kino moja....0715591141 piga sim bei zake ni 3mln na nyingine ni 3.8mKwa yeyote alie na Land Lover 109 naomba awasliane na Mimi
Mkuu 109 ni toleo la zamani haliwezi kuwa show room mkuuKuna show room moja iko pale fire, karibu na ile shule ya wasichana sijui inaitwaje, sijui ndio Zanaki! Niliwahi kuiona Landrover kali damu ya mzee na nadhani walikuwa wanataka milioni ishirini... Kawatembelee...
Hazitengenezwi tena. Jaribu mkoani Kilimanjaro na ArushaSawa mkuu....ila 109...20m mkuu???duuu parefu sana hapo....ilikuwa mpya labda...ila sidhani kama bado zinatengenezwa.
Mkuu usiwe mkoloni, acha mke aendeshe gari, kuna siku utaumwa usiku mke ataendesha kukupeleka hudumani au ukisafiri mkeo atahudumia familia kwa gari.Ndio mkuu naihitaji maana hizi za automatic zimenishinda kila nikiiacha home mke nae anakuwa dereva
Niliikuta moja. Unajua kuna wazungu huwa wanafungia magari ndani. Labda unakuta lilikuwa la babu akafariki basi wanaliwekaa afu baadaye wanaamua kuliuza tu wakiona hafufuki...Mkuu 109 ni tolea la zamani haliwezi kuwa show room mkuu
Labda mkuu NibebikeNiliikuta moja. Unajua kuna wazungu huwa wanafungia magari ndani. Labda unakuta lilikuwa la babu akafariki basi wanaliwekaa afu baadaye wanaamua kuliuza tu wakiona hafufuki...
Umekosea tu hapo kupita maelekezo ni kupita maelezo vinginevyo wewe ni mandolin hasaMkuu, Landrover 109 naifahamu kupita maelekezo... Kwenye miaka ya 1980-90 mzee wangu alikuwa ni mkuu wa chuo na hizo gari ndio walikuwa wamepewa kila chuo... Pia mwaka 94 tulikuwa tunamiliki Landrover 109 mpaka mwaka 98 hiv. Mwaka 2001 wakati naenda driving school nilijifunzia kuendesha gari kwenye Landrover 109... So you can imagine jinsi ninavyozijua hizo gari na wala siwezi kuchanganya na 110!